imeharibu bet slip mzima
na uyu jamaa DJ aliweka 10k on dat game
sasa haongei
gambling is becoming an addict and it will ruin Lives vile naona
imeharibu bet slip mzima
na uyu jamaa DJ aliweka 10k on dat game
sasa haongei
gambling is becoming an addict and it will ruin Lives vile naona
waah leo wanaume wanakojoa
Napenda sana
leo ni kunoma
*addiction…Unless hio ndio jina ya huyo Dj.
Not forgetting venye Milan na PSG zimenifanya. For your information PSG ishabeba kikombe ya Ligue1, so wanacheza ufala sana. Hio nimeitupa nje till next season; au wakicheza na team iko down
Na Man U ikashinda pia…
Hii weekend imekuwa crazy,most teams that were in action during the week either drew or lost
Hii statement haimake sense…
these bettin companies must be having an weekly meeting to discuss which games to fix, otherwise naonanga nikibet kama wanasemanga" ile kubaff imewekelea tena na haikulangi"
Midweek