@WuTang nakumbuka …pia nakumbuka pinky was the hottest chic sometime back…she was in pulse kila time na ile video ya bamboo ilimfanya famous sana…najuwa ile kukamuliwa alikamuliwa na ma big fish dem days
Kasupuuu.
Nakumbuka hio song in 2001 ilirule top 7 at 7 ya kiss na pia top 9 at 9 ya capiroo hadi nikaijua offhead. @Tommy Lee Sparta hio chronology sio mbaya although hardstone anafaa kua huko kwa mwanzo. @WuTang now that is my kind of shit. kwanza hio warogi mbeche. kah na brayo pamoja kama asterix na obelix
how can l forget mahatma song pande zote mbili
l still know the lyrics hadi wa leo… dope song
na mtu saba collabo na juakali na nonini
mtu saba alipiga manzi yako combi
mtu saba alisanya kwenyu juzi
mtu saba huwacha kitu kubwa kwa choo hadi ukijaribu kuflash mara kaa thao bado haiendi
Kuna ingine ya Ogopa deejays that I only heard once na ikapotea. “Uyo achibela alikua sawa na figure ilikua poa check akitambaa utadhani malikia kumbe yu ana tabia mbaya tabia mbaya”
Alafu pia Kuna Ile jua kali ali feature na wajaka flani sijui something like kondele o something.
One2moja…‘nikiwa na mabeshte twanywa moody kwenye crew,inafaa ucheki manze the things we used to do,na usiwahi soma label ni hasara…’ wot was the name of this track?