l grew up listening to this local tunes…made me love music and dream of having a music and movie shop…
baba yao kalamashaka…fanya mambo …video low quality but ilitubamba
then kuna mashifta…(they copied dre and snoop lakini bado walitubamba)
then king of freestyle mwafrika
then kuna moja ilikuwa inaenda ivi
“ni kwa sababu yako manzi yangu sasa amekuwa wako nilidhani mimi ni beste yako”
hii song ilinibamba sana thou nimeitafuta for so many years sijawai ipata youtube…think artist was mich black
ingine ni …mwegerekanio…song was dope
then hardstone rocked kenya local scene
then my favourite till to date ousmane…rising star
then time za esir ile song wakiwa na big pin Jo
then era ya calif ikaingia
ruka ya jua kali ilitubamba
nonini na wekamu
then remix …kwaza part ya jua kali …( ushawai chota mtoto kwa haga) kumbe alikuwa anabonga story ya Kukamua mkia
then nonini again…my fav verse.( nakutana na wewe supermarket apo apoa nataka hakuna roots kwa hii game hadi kwa kichaka)
then redsan akatubamba na chiken now na akitakaa apakatwe
then G fulani ya westy Chris kantai…huu ni nani G huu ni kantai hajali G
then akatoa kiwowo…na jinga hii
then time ya beef ikanza chiwawa na FBI
then abass kubaff
then bambo akatoa club banger compe
then akina altitude na vile alikamua mercy myra
then kitoto cha coast kikatubamaba na amka ukatike…fame ikamuingia akaanza drugs sadness of life
nazizi na wyre neccesarry noise
then hatuwezi sahau jackson aka prezzo…
song yake mafans was dope na collabo yake na nazizi
also collabo na juakali na nonini vile utafanya…
amani na wahu walijaribu hii game pia…
mimi nilikuwa fan sana wa local hadi waleo