Kama kawaida yake!
Hmm!..
Noma sana
Umeona eh! Jamaa anawaza mbali sana…
Tz ya Samaki na Rula.
Wakuu naomba kuwakilisha (nimekua picha)
[ATTACH=full]179503[/ATTACH]
Kipanya the Great
Hahaha ili tusahau ya bajeti tujadili Samaki Au Sio
nchi ya kufikirika
Salute
The only great thinker remains in talk in Tz, Kipanya bado anazungumza na kukosoa kupitia sanaa ya katuni.
movie zinaletwa chapchapa, ,MADINI KUIBIWA NDANI YA UKUTA MERERANI MBELE YA ASKARI WA RWANDA NA HII YA WAZIRI WA AFYA KUSEMA KUNA DENGUE BONGO…wanahangaika tusiongelee ushuzi wao kule Dodoma wanaouuita bajeti
Una kazi sana na huyu Mmakonde…!!!