Hii story ya kuwa single imenichosha kuongea ukweli wakubwa. But afadhali kusugua hapa kule, While I used to date niliwa nabuyia dame chips halafu anakula zile soft anawacha zile zimekauka…kidogo kidogo anataka nimununulie crips ni Khaard.
7 Likes
kidogo kidogo baridi ndo iyo, unampatia sweater yako alafu…
1 Like
sombody post that Erasto Magingi joke. reminds me of this ghetto ninja.
Kwani Erasto Magingi ni mmoja hii dunia yote.
:D:D:D:eek:…keep them coming.
1 Like