Leo Niko Safe na Akina @Imei

Leo nimeenda ile pub yangu iko ile base mimi humeza vodka then nanyanyua nguna. Kidogo kidogo akina @imei wamekwingilia na kutake positions ( walikuwa civilian bt niliwatambua). Mmoja wao amezushia counter anadai kuona Natgeo. Nacheki akina @pamba wanachunguli pale entrance then wanapiga about turn. Uhunye alifanya fresh kuleta hii mashujaa huku. Naona pia pale Bukhungu mchinku ameletwa spidi hadi tarmac na round about ziko almost complete. Mbicha sina…

Hiyo tarmac iliwekwa fasta…

Maze, orders from above walked the talk.

Kach kumenyesha leo?

Leo ndio siku imeanza but Jana zii, but zile siku zingine imetesa sana.