Wueeh!!Birrionea @rollout leo anaona siku mrefu.Wacha nisisumbue,lakini jioni 6pack ya FAXE nadai
kwani leo ni lini
Kwani umeletewa wale watoi ulizalisha 2001?
U
Wueeh! that word there umeambukizwa umukuru slum
A real birrionaires night out na hawasumbui
[ATTACH=full]50485[/ATTACH]
nimelewa fogothary tayari na nasumbua! iko nani?
Tumbo inanimalisa na sisumbui Dr accoustic na Dr luther.
Hio ndio shida ya kukula hongo mingiā¦
Ni hizo mtura za raunda.