Leo ni siku safi sana.

Wikendi niliamua kuwekelea jackpot tu kijokes na kucheki leo kumbe nimepata 12 games maze so I guess ntakula bonus and one game is remaining so ikifika 13 sherehe itakua noma zaidi. :D:D:D
[ATTACH=full]496789[/ATTACH]

Umeweka Swara by announcing this to us…

Yow Kipchoge Umesota mpaka huwezi jibuyia bundles?

Hii weekend nimetomba pesa ajabu banae … lakini haidhuruu

Njaanuary yangu ndio inaisha leo sasa

Kama iko itakua tu.