[ATTACH=full]425569[/ATTACH][ATTACH=full]425570[/ATTACH]
Wapi jaba na lanye?
Jug danihell iko na hangover baya sana …
Kweli … Uchumi ni mbaya.
:D:D:D unalewa mchana shifo?
Enyewe ka advance kameingia.
Sasa najua ume fake sickness ujiburudishe. Madam mboss anajua umewezekana na homa kali…
Nilikuwa field work nikaona nitoe lock
Nitakunywa maji mob
Job gani hio hata mimi nifanye application?
Pesa manenos
Hio free time
Sasa chifu akiwa mlevi mchana villagers tutakesha ama
Weee duri hakirii,ureda andu mavotiree Ruto nigethaa acoke amaninee utigwo ukiria mirigo yaku wii wikaa
Mundu Arie indo siake
Pombe au coca cola hii
Fombe ya kîgi
Iria muiyite na Ruto
Îî
Ala, imekuwaje simba kala nyasi?