Leo ni Leo

Sisi kama Arsenali tuna support Leicester…Watu wa Kodi… NJM soccer, Phoenix, sportsdevil add ons should sort u out
[ATTACH=full]51840[/ATTACH]

Man u will take it.

Let’s wait and see. This is a real test for Mou

Ati Arsenal walishinda kateam gani 8-0…
He he, ni kama kucheza na Makongeni Youth.

Mimi kama mtu wa Chelsea…

Mourinho wewe ni Baba lakini leo jipange. Niko nyuma ya leicester

Leo Arsenali ina cheza na Mancity in a friendly match

Chelsea wanapatana na Werder Bremen…

Na kama Ozil na sanchez angecheza, si Makongeni youth wangekula 20-0

Nipee link.

mimi sio mtu ma links…mimi ni team KODI

Alafu from kodi add on gani?

Njm soccer, sportdevil, phoenix, castaway etc etc

Arsenal pia tunacheza na Man city 8pm

Mimi mtu wa gotv?

Hapa kibarua ya kushinda hii game ni kingumu kwa team zote…

Na nilikua nifungue official thread ya Community Shield lakini haisuru.still sceptical about Jose lakini lazima aanze in style.Morgan na Huth sidhani wamepatana na any intimidating striker kama ibra so leo watajionea siku mrefu sana.Man united 3 foxes 0

Nimewekea Leicester

[ATTACH=full]51857[/ATTACH]
Confirmed.

Vardyyyyy

Game on

1-1

Ooh, the thread died off?

It’s Zlatan time!

Bahati tuu but congrats…

Watching Arsenal v Man City