Leo ni Leo

Tunaua West Ham and on a lighter note, AFC Leopards should mount a guard of honour for Gor as we take the league today!

Weka hekaya Ngombe

:D:D:D wewe ni fan wa Leopards, usijali. Next season ni yenu, sawa.
Gor wakienda Goodison Park watabaki huko wacheze kwa league ya huko(rika yao).

Mimi sipendi Gor sana ju ya mashabiki kuwa rowdy but mi ni fan wa Mieno,Kahata,Tusenge aka Tusiyemenge(sijali ata akiitwa bakuli) na Black Berry.Na sijui mbona mlifanyia Kagere na Walusimbi madharau wakaenda.

Betslip leo ni
Arsenal win and over 3.5
Mancity win and over 3.5/2.5
Gor over 2.5
@123 tokambio kuja pia uweke zako.

Those guys sneaked out, hawakuuzwa. Its strange that the transfer window is always open in Kenya hata in the middle of the season!

Ya Kagere iliuma sana.They train at Egerton University and we’ve interacted with the team sana.When you see Kahata,Kagere and Mieno training,ndio utajua kuna quality ndani yao.

Yea those guys are good, I only wish if a player leaves Gor, he should be finding a club abroad, sio Tz ama locally.

I totally agree.Because most of the Gor players wana quality kucheza majuu hata kama ni sweden au Norway au Finland

pole aki

Kenya teams hazitaki maneno ya contract

Down with all leg’s