Leo ni Kumuoto

Inaonekana leo ni ile siku watu wanapoteza viti. Two are down (keter and Gatundu North MP). One to go, hii ya hapa embakasi. Mnaonaje wanakijiji, how will that go?

Ongeza Chris Karan wa ugenya kwa io list
Babu ata yy sioni yake ikiishia vizuri

ni moses huyo?ama?

I lost a very close friend this morning… Another friend of mine was conned 300k…such a bad day

pole sana

Moses Kuria ni Gatundu South, Gatundu north ni ya Wanjiku Kibe

Maze pia Babu hatoboi

Pole regional manager. Stay close to them for they’ll need your support.

Trust me they do…most huyu wa 322k

How was that con orchestrated?

Ebu tueleze

Ongiri has it…