Leo ni ile siku!

Tuko hapa Juja mall…ngoma iko poa…mwenye club amejaribu hapa pia ameleta waschana warembo sana kuserve wathii. Almost all are dry fry material.

Mko wapi watu nguyaz!?

2 Likes

Tuko tu hapa kwa keyboard tunadecide between trolling and nderoiroment of this thread which is better.
Just a sec…

27 Likes

Juja tena. Na si hawa mapoko wa JKUAT na MKU ? anyways kila nyani na starehe zake.

1 Like

Sema hauna kakitu na muhindi alikunyima advance, tutaelewa.
#UOTP.

3 Likes

Usiwaite mapoko tafasali…hehehe

Ama tuikonjolee

Niko Kwa ndae, Hawa mafala waliniumizia dere wangu, huyu Niko naye ananuka peasant spirit na ako Nazo mecho nyanya na tuko operation area.

3 Likes

Meffi…kutoka hapa tunaenda 2RM…kuna show mwenda sana huko

Opereshen gani hio ya usiku

1 Like

Against illegal logging Kwa Forest, Jana nimeshika lorry full of sandalwood.

6 Likes

Mbisha ni muhimu.

2 Likes

Haya , mkifika rwaka , kujeni hapa kigwaru.mtatupata na birrionea @rollout .

1 Like

Hehe sasawa afsa…msako uendelee

1 Like

Ulihama kasarani

Kasa nitafika masaa ya wachawi !

2 Likes

it won’t hurt to be humble

1 Like

Kuna warembo hapo?

Chillax!

KWS SPORTS CLUB TUKIWINDA NYOKA

2 Likes

:D:D:D:D:D:D

2 Likes