Leo nakula lunch hapa Weston

[ATTACH=full]491079[/ATTACH]

Hii ni menu ya kibanda either in bongolala ama vuganda.

Most likely UG. Empuuta na Molokoni ni vyakula gani?

Hii ni kuharibu pesa na kuna kibanda inacheza na food same nzuri nzuri

Kaulize nyanyako bro

Nile perch na cow/bull hooves

Ushs. Kuna food hazijapita fixed price

Unaumiza yye ukimpulizia ka hewa?

Hahaha,last time I was there the prices were way below the 2k mark! Actually Rachel served me tea next to the pool. That’s how learned William like chapati with madodo

Correct. Look at the phone numbers below. They wouldn’t do deliveries too

Molokoni ni zile mahooves na nyama za kichwa

Only Ugandans can write “goat’s meat”.

What is the single name for goat meat?

Mbuzi

Stanley Mwangi wachana na bhangi