Leo Na kunywa crate mzima ya Guinness

[ATTACH=full]90297[/ATTACH] [ATTACH=full]90297[/ATTACH] Today my security GSD gave birth to 8 puppies while my Boerboel gave me 7 puppies last week.
[ATTACH=full]90295[/ATTACH] [ATTACH=full]90296[/ATTACH]
@introvert Change dog food
Leo nakula hii[ATTACH=full]90297[/ATTACH]

Mambo ya dogi sitambui.

3 Likes

Wachana na Guinness, wachana na chakula ya múgo aka Kúga. Nunua chakula kwanza…

usiniharibie appetitte yangu prisss

1 Like

Saitan.

1 Like

Me najua dogi tukipatana ni mateke na mawe

3 Likes

Kaoshe vyombo

kaa unakula food inakaa ivo dogi unapeanga nn??

1 Like

Jina ya hii chakula ndio gani?

changanya

3 Likes

ofcourse mwisi na Sheppart hawaezi kua mabeste. I could be wrong though.

4 Likes

Why do you hate yourself so much?
Even @introvert wouldn’t allow his Shepparts within 10 feet of what you’ve been eating!

2 Likes

Uki itisha hio crate pia kula mayai thirty ndio hesabu ibalance

[ATTACH=full]90336[/ATTACH]

Hio ni chakula ya kibogoyo.

6 Likes

Okra,waru na carrots? Ata izo mbwa zitakataa io food.

1 Like

I’m sure ako na hekaya ya sheppart ikimuuma makagary akitoka kuiba

Hiyo chakula inakaa shit ya mbwa

Drinking my Draughts Guinness at some bar in Rome…na siringi

[SIZE=5]Don’t let the haters put you down you are a proud father of 9 (by my count )zikona mkia kama yako ! Kunywa Guinness na utafune mfupa ! [/SIZE]

Kwa hio sahani kuna mifupa gani ya kutafunwa?