Lakini engineer hapo umebonga. Mwingine be like Wakili umefanya mzuri. Alafu Daktari tuko pamoja pewa beer mbili…my round.
All these being shouted pale kwa bar ati mjue mens zimekaa na watu wa kiheshima.
Mtu anaitwa engineer na ni grad wa Kenya Aviation. Ule wanaita Daktari ni grad wa KMTC… Ni nurse. Wakili… Ati lawyer akifanyia law sijui takataka gani of a college.
Patia hizi ngombe 3 days… 4 days at most na zitakuwa pale Sonford fish and chips zikitembeza kiyambis kwa mfreji kuchota maji… Hazina any.
Alafu unaona mjinga ingine na ni dereva wa mhindi pia aki jaribu ku slay…
Big boys akina Karadar wanacheza ndogo
[ATTACH=full]190708[/ATTACH]
@Jirani umetumia handle mbaya. Should have been @Panyaste. Halafu naona you’re zooming into the dashboard from the backseat. Hio miaka yote huja afford sh400,000 ya driving school?
This happens at my local a lot.:D:D
(Doesn’t help that the new owner is a luo.)
Luckily, their egos do not permit me to buy more than a round occasionally. I’m heading there now…TGIF! (PS: why’s your car crawling at 0 on a highway?)
[ATTACH=full]190747[/ATTACH]