Leo hii naitwa villager......

hahahahahaha, mwanakijiji wewe

26042018 ulikuwa wapi kupinga kuitwa villager?

:D:D:D:D wanakijiji tulieni. Hata sisi Wakenya tushazoea, maanake hiki ni kijiji, lakini haimaanishi ati members hapa ni washamba.

maccm wote ni washamba na malimbukeni

Hakika.

Yaani Mgeni Umeonewa huruma baada ya kufukuzwa kwako ukakarimiwa tu huku ugenini kupewa msaada wa kuishi sasa unataka upange wewe aina ya chakula?
We kula tu chochote utakachokikuta mezani Mzee, hutaki basi ondoka urudi kwenu,