I want to buy this for a student (15k). It’s an old laptop refurbished. Nipeni mawaidha wadau. Is it worth the CSR I’m undertaking? Even for CSR I insist on value for money
1 Like
Go for it
Haitamfaa. ThinkPad ya mwanafunzi ni x240
1 Like
Nimeicheki. It looks solid with better performance and specs kushinda Yoga 11e and the price is within my range. Sande sana omwami. Much respect. Tuma till nitume za jug ya keg nyeusi na niongeze 150 ya kugusa murima
1 Like
Tafuta ninja inaitwa geektech kenya huuza machines legit…akona mpaka macbook air 2018 na 25k just to mention
MacBook air 2018 refurbished minimum 45k .
Price very suspicious.
2 Likes
kijana ya boss wangu ako college
Wewe uko senyeta na mbona hujai piga senyeta mwezako @Ngimanene-Na-matharo ki uwazee saa yeye hukuita kagege?
1 Like