Lembeli Atangaza kuondoka cdm nakurudi Ccm

Ukiwa huko unachuma bila shida na ulinzi unapata yani hakuna usumbufu wowote unakula goodtime tu.

hahahahaha Dj Mbowe atabaki peke yake hakika

Yule jamaa Mimi namfaham ukoo wake wote uko bulungwa na ccm dam…
yeye kuhamia chadema ni baada ya kuona ccm ukanda ile watu walikua hawaitaki ikabidi ahamie chadema ili awanie ubunge kule bahati mbaya akashindwa kwavile alihamia chadema kwa makusudi yake na si kwa mapenz ya chama karudi chama chake sio mbaya ye aende tu kwanza hakua na faida yoyote chadema

Jiwe acha aitwe Jiwe.

Aondoke tu

Ni jambo la muda tu utapeli wa Chadema kwa wananchi uwe wazi