Lema joins Miguna. Tanzania is a shithole!

[ATTACH=full]338412[/ATTACH]

Kwa hivyo hao wanne wako katikati ndio watoi wao, ama?

I have very little respect for clowns who double as political activists who spend all their political activism lives in the diaspora (in self imposed exile) waiting for the right polical climate at home before they can come back and ensconce themselves in a political seat comfortably for the rest of his life at home.Kwani wanafikiri hao ni nani?Where are they when people are eating teargas literally to fight for democracy?
Miguna Miguna is the only real activist in the diaspora who has shown his worth from swearing in The People’s president to forceful exile to Canada.

Tz siyo shithole. Haijawahi kua shithole.

It’s true tunapitia kip.indi ambacho hakijawahi kuzoeleka baada ya Nyerere lakini haijafikia hatua ya kuzalisha wakimbizi wa kisiasa.

Netizens wa Tanzania wanaamini lema anakimbia madeni. Spika wa bunge akiwahi tangazia umma kua lema ana deni la zaidi ya Milioni 400 Tshs.

Logically bila ubunge asingeweza kulipa hilo deni so hii move inahesabiwa ni kukimbia deni.

[ATTACH=full]338414[/ATTACH]

Hebu convert hio 400m za tsh to Kenyan shilling.

Hehehe

Kwamba unafikiri itakua ndogo?

Hiyo ni 57 bob za Kenya. Mwambie arudi ntamlipia.

Una something along 400 Million na una akaunti ktalk?

:D:D:D:D:D

Gathee usitushtue na 400million tsh hio ni 19 million hapa kenya[ATTACH=full]338472[/ATTACH][ATTACH=full]338472[/ATTACH]

huyo lema na lissu ni western puppets…

Hizo amounts zote zitanunua same product. Means kama kuna gari linauzwa milioni 400 ukija kutoa hiyo milioni 19 utagewa gari hilo hilo.

Headed to Canada to be a dishwasher. He will soon learn starting life in diaspora is for the young.

There are some serious tycoons on this website kijana yangu. I would like to mention names but I will reserve that for another day.

Wololo.Elimisha hio kijana.Ambia yeye kuna ma CEO tatu za top tier banks za Kenya wako very active hapa.Ambia yeye sio kila mtu anashinda kwa forum ya sex and relationships kama the bottom barrel wanker @under23 mwenye anawank daily na sabuni ya mama.

Hehehe. He should know that not everyone here is an idler. Actually I know of three talkers who are former schoolmates and are top fliers in their top notch proffesions.

Anakimbia madeni huyo…mipango imeenda kombo…
…wasiogope wakina Mbowe akimbie huyo…vyuma vimekaza

Unaposema anakimbia madeni, how about the living cost for him and his family in Canada?