Leicester 2_1 assnol
on point, hands down
Mpka muda huu siyo siri tena kwamba Arsenal haina creativity. Timu zimeshajua hilo Leicester iliingia na 5 4 1 Arsenal tumestruggle mno kutengeneza chances (a trend since the season commenced) timu inamiliki mpira ila wala siyo threat.
Any timu (na ni timu nyingi za EPL) with compact defense itaipa tabu Arsenal.
wacha tuone hii Sunday kaa Man Untd itanyorosha Arsenal ama Arsenal wata simama kidete.
Ili tupate picha nzuri mimi naona tusubiri tuone game ya Man U na Leipzig itakuaje na game ya Arsenal na Dundalk itakuaje.