Legends Remember....

[ATTACH=full]495673[/ATTACH]

Hio gari hapo nuyma ilikuwa inaitwa renault roho, ilikuwa na roho kama gasiya

Correct! You are a true legend, bro… :D:D

:D:D:D:D:D …hio ice cream kart ulikua unanunua ice cream funky za high school , kunguru inakupatia shot masaa za jioni kabla apande bus arudi shule yao

Burning ice inside that box.

Harufu ilikuwa inatoka kwa iyo cart ikifunguliwa na saa izo ni saa saba mchana jua imechoma siwezi sahau:cool:

Renault 4 moto kama pasi!

You know that the real pronounciation is [SIZE=6]onu[/SIZE].

I remember the sound of the kengele that would draw us out of the house running so fast like it was a game of hide and seek starting; nakumbuka peeking into the cooler and salivating at “red devils”, cools zile zilikuwa zinakaa kama sachets za phombe, nakumbuka pia some ice creams that had a dark chocolate surface but white on the inside (sikumbuki jina), I think it was most kids favorite

[ATTACH=full]495734[/ATTACH]

But I also remember Mrs Mbogo because of that car. One of the very first memories of school life. So gentle, respectful and welcoming to the young kids just joining kindergarten, but also very knowledgeable, firm, and no nonsense when dealing with the older kids who dared to step out of line. She must be deceased now. She shaped some of my very early experiences in school.

You must have been in St. Georges

Khonou

I was born in 1998

Choc stick.

Hapa Kuna wazee kweli kweli.lazima mlitumia hizi bidhaa
[ATTACH=full]495831[/ATTACH]

What are these?.. :D:D

Lunch box ya kubeba mkate ya Elliot ama kenblest, hio ingine ni ka kibuyu ka chai Moja mrefu na Haina sukari, imejaa majani :D. Kama ulisomea primary school in early 90s mikono juu