Learn Something New.....

[ATTACH=full]483487[/ATTACH]

[ATTACH=full]484200[/ATTACH]

[ATTACH=full]486256[/ATTACH]

“I had given up on marriage when I met my wife, Betty Musambi,” former KBC radio presenter Bonnie Musambi says as he and his wife mark their 11th wedding anniversary.
“Nilipokutana naye, niliamua nitamuoa immediately na tutarekebisha makosa huko mbele. Nilikutana naye at a parent’s day in my former school. Alikuwa anarepresent mzazi na hiyo ilinifanya nikajua yuko responsible and honest. Ainiambia amekuja na boyfriend na nikamwambia ninataka kusema naye. I was only looking for potential not perfection. I dated her for only six months na tukafanya harusi.”
“In marriage, I have learned that only your spouse is your best friend. Hao wengine wanakuja tu ukiwa juu. Ukishuka, wanatoroka. Wakati wa kampeni, marafiki walinitoroka. Mke wangu aliuza ng’ombe kwao kufadhili kampeni yangu. You can overcome any challenge kama mtashikana. Mtatongozwa na watu wengine, marafiki tu, lakini we share. Wakati mmekosana, avoid third parties. Ni nyingi tu mnaweza kusolve hilo tatizo. You are in your own in which you must make it fun or boring,” Musambi says.