Leaderboard

Kama Enigma nasema ni asanti kwa @adminstrator na Waturedio @Electronics4u kwa munajili ya kuleta leaderboard.Ni motiveshen kwa wanakijiji ku engage.Few forums ziko na motiveshen aina hii.Infekt most forums zinakulisha adds za betika by force by fire.Hapo mmecheza ki Iniesta.
5k ni fuel ya Bimma M3 ya siku mbili.Yangu ni kuomba motiveshen ianzie angalao 20k considering the state of the economy.Otherwise kazi muzuri.

2 Likes