Lazy lunch on Sunday.

3:30 on a Sunday and I haven’t had lunch.
Ferk whoever came up with this idea of Sunday meetings.

Si ni wewe unafurahiaga kuitwa elder kwa kanisa? Pambana…

Ata wewe mzee?very disappointing.
Unakuja unaangusha jokes za unakufa,unapigwa sweep,unaumia roho,unakufa. (sorry, couldn’t resist)

Makanika mrefi wacha matusi bana!

Kaa gani?

Hizo jokes za kukufa hazijakuwa stale?

Besides tv

Sina nguvu ya kutembea. Hangover ni noma!

Tuma @SledgeHammer mkate :smiley:

Kanisa yenu hakunanga chai na toast ya wazee?

Aje haraka nimtume?

Mwezi iko kwa corner.

Nice…siku hizi I take fruits for dinner kitambi imemalaysia.

uliacha hunger pangs usiku?

Yeah…inakaa eating light for dinner is helping

Coz you have a water source in your living room?

Hiyo sio sababu

I have a dispenser

I’ve learned a thing or two from huyu Mrasta anitwa Ras Mocco. Channel inaitwa Rasta Kitchen.I’ve watched almost all of his vids.

https://www.youtube.com/watch?v=bnEt6wNZI8w

https://www.youtube.com/watch?v=0ddOgfsXvXM

Hehe … bado unaendaga kamweretho