They have no work ethic and expect mambo ni kama hapa Kenya. ATI unafanya kazi masaa mawili hiyo ingine ni moshene na selfies. Woe unto them when someone is assigned specifically to make sure their back is bent.
[ATTACH=full]471418[/ATTACH]

Hizo hekaya zikuom, challenges experienced after relocating.
For me kukamulia Abdul ngamia was the best decision I ever made
Watu waache kuogopa kutembea…venye ma ancestors wetu wa kiuk walisema…ukitembea ndio utajua si mathako tu anajua kupika…the experiences are eye opening
Am okay huku vumbistan in the time being
Majority of Kenyans cannot be termed lazy. Maybe huyu alilelewa soft life.
If you’ve worked with Caucasians, they walk with purpose even when running small errands pale workplace. OmuAfrica naye ni leisurely strolls ata akiitwa Kwa ofisi ya mdosi.
Says alot bout our work ethic ama motivation!
Vile watu wa bara husema kua wa coasty ni wavivu, ndio vile wasungu husema Africans (in Africa) are layzey.
Kabisa