Lawama kwa JF na wadau wake, JF inamaana kwa Tanzania zaidi ya FB,Twitter na Instagram. malalamiko kando ya Mito ya babeli

jf ilikuwa shule

Subira

Nimekusoma… patience pays

asantee

Missing home jamaniiiiiii

Una maanisha ulikuwa unafanya bookmarking ya webpage url?

JF ilikuwa msaada kwa serikali yenyewe. Kila kizuri hakikosi changamoto ilipaswa hizo changamoto zitatuliwe kwa njia bora isiyo zuia au haribu hata yale mazuri.

Happana nilikuwa nasave offline.

Umejitunzia hazina nzuri.

Nguo ya kuazima haisitiri makalio

[SIZE=7]Kinachonisikitisha zaidi hata jukwaa la ‘‘Great thinkers na Premium’’ zote zimekwenda, kwanini wasingeacha japo majukwaa hayo mawili ambayo yalikiwa na Members maalum na kulikuwa kunawekwa nondo pekee za ukweli?? Huenda tungekuwa tunaenda tunachungulia tunajiliwaza kwa kuendelea kuyaona "Mahame" yetu…!!![/SIZE]

Me

Meku shimbonyi tshafo kwakweli jiwe

Ishu

Ishu ni max awape majina ya members wake sio kulipia

Yaan search engine ya hbr tz ni jf washamba hawajui umuhimu wa jf

Naahamishe saver yake iwe pale Mawasiliano house.
Hapo ndio watu watakuwa wamekwisha kabisa.

Max

max alifanya la maana

[FONT=tahoma]Zote hizi zimekwenda na maji[/FONT]

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya? | JamiiForums

Biashara ya kampuni ya usafi (cleanig company) | JamiiForums

Kampuni ya usafi Tanzania | JamiiForums

Mawazo yenu: Nahitaji kuanzisha kampuni ya usafi | JamiiForums

https://www.jamiiforums.com/threads/wafanyabiashara-wa-mikoani-mnaochukua-vitu-kariakoo-njooni-tujuzane-machimbo-ya-bidhaa.1341532/