Latex Allergy

Wadau, hii kitu ni ukweli ama? Kuna dame amenishow she’s allergic to latex na kuna upcoming fixture. Kuna alternatives/non-latex condoms ama nicancel mechi? Juu sidai kujipata kwa situeshen. And what’s the worst that could happen na hiyo allergy?

alternative ni bladder ya nguruwe aka sheath.

kazi kwako.

Huyo either anataka kukusumbua for the next 18yrs na child support kama wewe ni birrionea by kijiji standards ama anataka kukupea ukimwi anyway choose your poison. Sande sana

Ndio naona. Mimi dame anajua majina yangu tatu siwezi dry fry.

Acha nifike Kariokor

Kwa hivyo unadrydry ule anajua jina zako mbili??

No. Not literally, As in kama dame anakujua and she knows how you move she will be better placed to play you or trap you na ball. Unlike a stranger.

Mdanganye utaenda dry fry. Akikam mshow unapenda kuanza na doggy. Wakati anainama vaa cd haraka haraka. Chapa kitu.

Na akianza kuchemka ama kufungana alafu aende kwa baba? I can’t deal with such a situation again. Na mechi iko Niavasha so hoteli/airbnb itakuwa booked na jina zangu.

So whats your plan? Ama unataka ku gamble na maisha yako? Unajua ni watu wangapi huingia huko bila cd. Na ukipewa mdudu je?

Abort mission. Kupata PEP ni kama kutafuta maji Kalahari desert. Unauliswa any possible question.

Ni kama hii mechi haitahappen. Siezi risk maze. Ama nijiaminie na test kits

Test kits, …do you know about window period…

Imagine you are number 24 in her line of duty kuambiwa hivyo. Murife Run!!!.

Weh! Wacha tu ikae basi…lakini nitajiuma ulimi siku kadhaa… Huyo dame ni fiiiiine. 22 years yellow yellow from Kathonzweni na amejipa.

Vaa condom…tena military grade.

While I was in campus there was a lady who had a similar allergy. Very urbane and exposed. She would only tell you in the heat of the moment as you sheathed up for some serious drilling. Many men thanked the heavens and plunged deep into her well without any protection.

Later she would succumb to ukimwi and left behind a long list.

Chunga sana kijana

Madem wakamba ndio najua wanakuwanga na allergy ya CD mkienda round ya pili after kukutana. From there ni mnyanduano bila CD going forward. Hatari sana.

Usijaribu hiyo mchezo gathee. Test kits haziko reliable. Abort mission. Ama unataka ku regret maisha yako yote juu ya utamu wa dakika mbili?

Nishacancel. Mdame anasema nimtumie doh juu alikuwa amepanga wikendi tuko naye…ati amecancel miradi zingine. Nashindwa kwani ni biashara tulikuwa…