Late nyt poll

Take the poll

Meffi pole…literally…

Take the poll

Yaani all your polls are shit this, meffi that, mshuto here… come on!!!

Nope, this is just wrong in so many ways

[ATTACH=full]174109[/ATTACH]

…reply with your own analysis, I will do the same.

Ahsande bro.

He he he!
Sijui nacheka kwanini…
ION, usicheze na mtu wa mjengo akiwa amekula githeri… hiyo weighing scale ita-malfunction!

This thread is full of shit . Siku hizi ktalk si fun watu huwa hawapost hekaya na story interesting, unaweza kaa wiki 2 bila kuona kitu ya maana

Uliepukaje raid ya mabeast pale relax?

fiti mzitoh
@Destro pitia pia…

Wacha na mimi niweke hii hapa.

Can you and your aunty(wife to your dad’s bro. No blood. No blood relation) Go to downtown NBI cbd, mchukue miraa @ 5pm, handass ziwaarest mbaya mbovu, ziwatume kuingia Naivasha, then mcome kumalizia the next day in a park in NBI.

Can you expect us to believe haujakula vitu. Can you expect your uncle to believe haujakula vitu, can you expect ati kila kitu iko sawa, ati wewe ndio SHAOLIN MASTER?.

Take the poles

ngombe muzee wewe

Hehehe

Kisembedede wewe

Umeffi mingi sana .

Nilikua niende lakini nikapigiwa simu na kadem kamoja kakaniambia kuna fununu kwamba kuna msako hio siku sikuenda. Huyo dame nikimpata nitampa shukrani za dhati