my lady got no fridge
Just wash them and eat them shida iko wapi? I often eat boiled carrots and cucumbers zinanipatia vitamin A
Si lazima fridge hata Ile iko kwa basket hapo kitchen
niaje wakanyaks?
Hii ni late night poll ya aina gani?
Niaje Uwesmake / Lien
Afadhali hii kuliko ile poll ya ule wazimu
[SIZE=7][COLOR=rgb(85, 57, 130)]SIWEZI KULA KITU KWA NYUMBA Ya single LADY. [/SIZE]
[SIZE=7][COLOR=rgb(85, 57, 130)]UTAROGWA[/SIZE]
:D:D:D:D
Yes, coz I’d be killing two birds with one stone :D:D
Unanusa kwanza unajua kama utapana na good aroma ama fish stench pare migingo
fala ni fala tu
Please explain, good aroma Ni gani wewe?
kama ninakula maharagwe yake sembuse cucumber? ile kitu siwezi kula ni chapati .
Fishy smell
Maybe lettuce… maybe
Wewe ni bonoko…
Kwani nauzanga nyama pale ngarA?
Hizi ndio watanzania wanaita pigo za kimama.