Late Night Kwa Kibanda ya Mama Ochille

Kushiba mdogo mdogo…ka nyamchom mwitu + chips mwitu = nikau 50 tuu
[ATTACH=full]21603[/ATTACH]

Nunua nailcutter bana

11 Likes

Ama ukule makucha kama ile post yako…

6 Likes

ama tumchangie
:D:D:D:D

HIO NI SNACK AMA SUPPER?

I like my chips golden brown and crunchy

1 Like

Mi niko na dala ya kuchangia nail cutter

1 Like

hawa watu wabara hawajui dara ni nini

1 Like

dala ama dara???

50 ? hiyo ni nyamchom ya punda mwitu

2 Likes

Makucha ni kama ya another female talker.

5/=?

1 Like

A very unhealthy meal.

ati fefte? hio ni choma ya funda ama zebra

Hii inakaa zile ndege za pale Nyayo Stadium

3 Likes

whatever!

NYAMA NI NYAMA BORA INATASTE KAMA KUKU AU NGOMBE

4 Likes

wewe mbukusu wina kathina

NV??? Upusss

Nobody said these were yours.

2 Likes