Late lunch

[ATTACH=full]449241[/ATTACH]

hio ni supu ya mahindi?

Ni chai

Long tea?:smiley:

Milk is unaffordable

Mbona inakaa kama maji imekamua kitambaa inakuaga hapo kwa sink ya jikoni,unakajua kale hakaishagi maji ya sabuni?

Maziwa onge omera

Sasa hio smiley face imoji ni ya nini bloody msenge shiet

Hauogopi kuhara?

Hio ni supu ya maharagwe utanyamba.

Hio ukikula asubuhi unachapa kazi the whole day kama farasi

Chai mrefu, maziwa Iko kajiado maji Iko Nairobi

Economy is hard brother

True dat

Kind of

Hopefully, haumaanishi ku uliza kama ni soup ya mifupa.
i.e kuita mifupa mahindi juu ya vile mifupa huitwa kwa kiuk.

@ChifuMbitika ni maskini fukara hoe hae…

Blessed are the poor in Christ