Last supper wadau

Till we meet again.[ATTACH=full]498629[/ATTACH]

Salimia saitani. Mwambie tuko wengi zaidi on the way Bure kabisa Ngombe ici

Low IQ bullshit

Mguu inakaa kama ya shaitani,kauzi ni kauzi tu

Last of what? Na mbona unakula nguruwe mbichi

Kauzi , kwani unarudi kamiti till further notice?

Hii khasia iko death row banae. Iende kwa amani atleast shingo za wasee zitulie

Umeamua kuiba equity

Uneenda wapi

Salimia shetani huko jehanam

Get some wine glasses nigga

:smiley:

Ako area tu.
Ni urefi ilikuwa inamsumbua

Labda ameitwa huko ujeru kuosha nyumba za nyanya wazee na @Panyaste★

Yaani hiyo ni supper? :D:D

Johntez bado unavaa olipo za umoja?:smiley:

Jamaa anapost last supper alafu asubuhi ndiziyai wanapost vile kuna mse wameangusha Githu…

[MEDIA=twitter]1631890227282468866[/MEDIA]

https://kenyatalk.com/index.php?threads/end-of-the-road-for-githurai-gunman.251445/unread

:D:D:D:D
Ktalk sihami wallahi.

Kwani wewe huvaa zile za manyoya mbwa

Navaa Crocs :D:D.