Larry Underestimated Kuria's Intelligence

He tried too hard to force him to walk out.

???

Fafanua tafadhali…tumelewa. …tunaona madimdim!

6 Likes

Ilikua NTV, kwa news

1 Like

huyo larry mamdomo hujiona trendy, classy n gentlemanish sana… he thought he will pin down kuria venye alifanyia ule mhindi na keter siku zile ya saga ya weighbridge harassment.

2 Likes

news ni citizen hizo zingine apana tambua

wanaume kama mabinti, you have money na you’re watching news on a sato?

He he…ma dim dim. Umenifurahisha boss.

1 Like

Hii post tuseme ni juu ya Kuria…ok…yaani honestly hata siamini huyu ni yule Ronaldo mwenye huchezea team kubwa ndani ya Spain. Anataka pesa yangu iende tu hivo na mhindi?

We are avoiding this[ATTACH=full]44771[/ATTACH]

6 Likes