Hekaya in full. Hatutaki vitu nusu nusu.
Niliiweka hapa many months ago. Kunguru alikataa kunifungulia mlango after alini cat fish. Nilijam kishenzi nikamgonga. Alogonga kichwa Nafikiri kwa kitanda aka black out. Mazee niliishi for a few months knowing I’ll be arrested for murder at any moment. Siku moja nilimpata kwa supermarket. Hapo nilijua niko safe.
A fool and his money…
You’re lucky it was only one, mimi walikuwa rende. Waliniambia wako na sheria zao, huwezi ingia na kutoka hivyo bila kulipa.
Why didnt ur father just use a condom?
You are lien
Tupe hekaya bana
Si basi ungekamuana…ulipoteza pesa bure
Tafuta carpenter akuundie fake pistol ya timber
@Silverback83 sawa na @kiLo- ni soldiers they have been trained to bring down kungurus no matter how many they are
kiongos Mali napost huwa safi