4 Likes
At last tumeona hii Calabash.
marketing intern wa Calabash @cortedivoire hajawai leta picha
10 Likes
Kumbe hii ndio calabash! Haikosi ile squad ya kunguni iko hapa ni hybrid. Kunguni kutoka mat za embassava na zile za city hoppa za Kabiria zinakutana, katiana, na kuzaa hybrid ya kunguni aigwes kufa hata ufanyeje.
7 Likes
Meffi nyinyi
1 Like
Calabash iko young drifters ama iko wapi
Funny thing is hawa madame hupata wateja
1 Like
Hapa sioni kama naeza rudi nikiwa hai.
2 Likes
Hii ndio kalabash. Wacha ikae. Taweh!
1 Like
