Language Barrier + Spot the Location

On the request of a close Ethiopian friend kutoka pale Dire Dawa, who relocated to Saskatchewan, I picked his cousin pale IOM Westie and was to take him to town stage ya Eastleigh, kijana afike chai road. Si hawa watu wanapenda ku-emigrate kwenda nchi za wenyewe. Hapa kwetu Moi alichokozwa akafinya watu kendez lakini hawakua wanaenda, sijui ni asali gani iko hapa. Ni poa lakini.
Nilisalimia mujamaa Akkam Bulte wacha anirukie na kilugha yao kama amesmile yake yote akifikiria najua. Nlikauka mdomo ikabidi ngoma iongezwe volume. Sema language barrier. Yani ata a simple convo could not be achieved. So, mninja hajui Englishemente, Hajui Swahilimente, na mimi sijui KiOromo wala Amharic. nikaona huyu makanga ya Nairobi itahangaisha yeye sana nikaamua nimfikishe tu Chai Road. At least anajua kusema Asante. na anaelewa maana ya Karibu. Amrsabur anataka amjoin pale Saskatchewan wanyonye welfare ya mzungu kidogo. Mzungu atajua nini ilimleta Africa. On that note, #WoyaneWacheniKuhangaishaOromians. Enyewe suffering haitawai isha hii dunia. As long as humans live…sick world.

So My spirit was low kiasi nikaamua niende nitembee where I started hustling hii jiji. Kuna penthouse flani mahali nlikuaga nikiniunua spares za Raputopu kwa ndugu yetuni flani Kinuthia hizo enzi. Nlipata bze bado iko na kazi inaendelea. Hio ni clue nimepeana. Nani anajua Kwa Kinuthia, pale juuuuu?

Ni wapi hapa wakumbwa ?

  • na hii Munyaka house always reminds me of the endless trips I used to do to Munyaka (Eldoret) ku-hustle slices. My fren, Kutoka Langas kuenda Munyaka sio karibu. Slices nlihustle miezi nne nikapewa on the eve ya Kuhama Erodoreti. Nazo zilikua za Ghorofa:smiley:

[ATTACH=full]170840[/ATTACH][ATTACH=full]170842[/ATTACH][ATTACH=full]170843[/ATTACH][ATTACH=full]170844[/ATTACH][ATTACH=full]170845[/ATTACH][ATTACH=full]170846[/ATTACH][ATTACH=full]170847[/ATTACH][ATTACH=full]170848[/ATTACH][ATTACH=full]170851[/ATTACH]

Hata miminipewe through pass ya kuingia Toronto…

tl;dr

:)punguza uzembe

Munyaka through kapsoya ama hawaai

Hehehehe umeishi Langas? Hiyo mtaa ilikuwa na mambo.

Yea, hehe. Kisumu Ndogo Karibu na Baptist Church.

Hawaai:D