Langata Cream

Langata Cream.
She lives karibu na Shops…

[ATTACH=full]204596[/ATTACH]

Mtoto Huyu Kweli Kaumbika …!!
:po_Oo_O:D

lakini kanyimwa tabia

Hahaha! Jinga sana

[ATTACH=full]204597[/ATTACH]

niaje mlogi, njoo uchukue ile gecko

hebu niambie…tabia gani hii ya kutokea mitaani mchana peupe na mavazi ya chumba cha malazi? hata kamisi hana jamani!

Kweli kabisa. Walisema “chema chajiuza, kibaya chajitembeza”

Bora si kinyonga. I can’t handle that kakitu

fake news

Hauna habari factory za kamisi zilifunga. Hawa wana dada wa siku hizi hawatambui hiyo ni nini. Ebu uliza Mutheu kama ako na hata moja.

kinyonga niko na ile ya pembe
[ATTACH=full]204598[/ATTACH]
[ATTACH=full]204599[/ATTACH]
chagua, wataka ya pembe mbili au tatu

There was a vibe back in the day of how valuable these things were. Is not true? Sijui ya pembe ngapi ndio ilikuwa valuable zaidi…

dont make me cry. izi vitu bado ni mob home, ustake jua vile tulizishika na kununua from neighbors, truck karibu iende na ikwity

Ni mimi tu ama hiyo sura inakaa Omondi Omondi hivi

Hiyo pembe ni kama ile ya ndovu in quality?

no, it would have been extinct long time ago, hii hi for medicinal purposes only ile kina @jumabekavu wanajua wao wenyewe

@uwesmake kwanini upendangi madem wenye rex hupost?

This Lang’ata cream, there must be some pie somewhere…

If this is the cream,I do not want to see the pie