Landlord akipoke his nose into your business

Sasa my blood sister was passing by to say hi. Landlord kiherehere ndo uyo, anamuuliza na unafanya nini kwa kijana mdogo kama huyu? All hell broke loose, ametusiwa mbaya sana. Sasa anadai hataki drama ilhali yeye ndo ameanza. Ananiambia nihame immediately, na atatuma deposit mabaadae. Sioni nikihama anytime soon, mpala corona itulie. Wanaume shugulikeni na kazi zenyu tafasari acheni na watu

Sema ukweli. Ulipita na Bibi ya landlord

Is your blood sister cute?

He has not furnished us with full information

@Jimit your hekaya has key missing parts…haieleweki

Alafu landlord ni mwanaume au mwanamke ?Hekaya has many flags

Dude, that’s a sister… its like me asking if your mums are cute, by the way are your mums cute??

Kuna landlord mwanamke? Si nadhani mwanamke anaitwa landlady??

Basi huyo land lord ni imbo

This is very funny.
Landlord ako na ujinga. Usihame na akitaka mpelekane kwa rent tribunal

nataka uwe my brother in law, is your sister married?

bado unaendea cereals tz

Kuish compound moja na landlord = trouble for both… nxt time ukitafuta nyumba make sure the landlord doesn’t live anywhere near the vicinity… contact the rent tribunal atumiwe barau.

Yes. With kids.

This is what I thought. And I’m the only single dude in the plot.

I doesn’t matter if you are single or not kila wakati you will be walking on egg shells…

Doesn’t really matter. I ain’t staying here for long.

Usihame . Mwambie akupe Notice ya 3 months

Wazazi walieka spacing namna hio hadi mnashtua landlord.:D:D.
Landlord anajaribu kufikiria kama huyo mgeni anaeza kuwa wako anaona tu abomination.

Ukiishi ploti moja na landlord you need to ensure hamjazoeana hata kidogo. Your only business ni kumlipa na story iishe.
I am also a single dude in our compound na kuna siku nilileta beshte yangu mwanaume alale kwangu for a few days after yeye kupewe exile na landlord aliteta sana akianzisha story mingimingi claiming different rules apply for the tenants even though hao wengine wako na mabibi na watoto and I am only alone yet tunalipa the same amount. Landlord thought nilileta a another person tushare room and even if that would be the case, I don’t see any problem
Nikasema hii kuzoeana itaisha