Declining respectfully
Declining respectfully
@Kodiaga kuja uone mtoto amekataa kumumunya your favorite part of ingoho, amekataa kula shirenje imagine!
Kuna day nilikuwa nashika chicken parts, kuna msee alikuja akadai anataka miguu (ma-orenge) akapewa kilo mbili, kitu alienda kufanya nazo sijui, huwa nafikiria hio scenario sana.
Izo sio z watoto but when i was young nilikua napewa . You crush all the fingers together
Hua mnatumia claws kama toothpicks?
muthome was mukamba
Niaje shipirembe
hi
When I was a kid nilikua nakataa hii juu nikikula miguu yangu itakua kama ya kuku