Land of Shiny Eyes

so nimeomba likes pale kwa sex and relationships watu wameanza nyef nyef ati niletee hekaya saa ndio hii.
I must warn you I am not captivating but here is my near mugging experience in the land of shiny eyes.
Majukumu yalinitupa pale nyeri saa mii ni msee wa nature when free I love to take a nature walk.Saa kuna ile njia ya kuenda mweiga pale LSE,land of shiny eyes, nilikuwa natrail hiyo rodi.Its a site to behold and the road runs through a terrain of hills covered with trees.Kuko poa sana.
Sasa nikaenda tu nikitembea hadi nikachoka nikaanza kurudi venye nilikuwa nimecome.Sasa kurudi some bikers were standing along the road,kuwapita naskia wanasema ati ohh nimeona wanahanda msee nikarudi.Wuee!! sema kugwaya but I am an introvert so siwezi simamisha stranger nianze kumbongesha so nikaendelea kusonga.Kutoka mbele SEM shiny eye midget akaniambia…huko bere kuna wakora uchuge…aii kuskia hivo nikageuka tunarudi pamoja ananiambia venye amehepa.Saa I have to go back to my crib but ntaenda aje knowing wezi wenitegea.Soo nikarudi hadi kwa wale mabiker tunachochana vile tuko wengi tutabonda watu but mmoja alikuwa mjanja @pamba akapigiwa simu dakika kumi akarudi na bunduki yake apatie watu lunch.Tukaambiwa ati tuende tuu its safe so tunarudi sasa bikers na mimi kwa mguu.Najua mwanadamu ana ufala tukipatwo kila mtu flight mode na wahepe making me a soft target.Sasa although ponyi walikua around,siwezi risk kwa phychology kuna kitu ati appeal to ignorance,hiyo story ya ignorance spend an I,so I must stick to the pack,mwanaume wacha nikumbie…for close to a kilometre trailing the bikers ndio nisibaki nyuma.Kama vile ruto angesema my friend!!sema kutii sifanyangi tizi napanda hizo mamilima naskia kutapika matumbo.kufika open area nikachukua tu mat hadi crib cursing that day…nilichoka majamaa na nikajifunza usiwahi enda nature walk kwa LSE…ni hayo tu.

11 Likes

Nimeachia ponyi. :D:D

7 Likes

hii si hekaya ni umeffi

8 Likes

Watonyarire omokuria, tatigambe kana ngoteme…

1 Like

Hii hekaya D-. Haina coomer, mbisha, mwelekeo, haieleweki etc etc. In short meffi.

8 Likes

Ujinga ingine ni natural !!!

1 Like

Kama hivi ndio wewe hupiga story, it’s true you’re an introvert

Sasa umesema nini?

1 Like

muweke hapo likes ama mtoke hapa meffi…I warned you I am not captivating

10 likes nidelete hii meffi nimeandika.

Sasa andika hekaya ukitumia majina kama coomer, Mata core, threashold,slices.

3 Likes

Boss wacha kuwa slow. You delete thread you delete the likes too… Wacha hii umeffi ibaki hapa ndo likes zikae.
It will also give us something to refer to when we want an example ya umeffi.

1 Like

Like nmekupa lakini hio si hekaya ni gabbage.

he he…aporogies fan base sitawai HKM hii baze ya akina kush tena.

he hee heeeee hata bila likes mujamaa na imajine ukitembea kutoka mweiga hadi nyeri town…

Shaiiiittt!!! Meffi

2 Likes

huyu huomba slices aje ?

@admin delete hii ufala kwa server

Burukenge kabisa. ati what?

Mbona bikers hawangekupea lift now that you were in the same boat? Lakini kama ulikimbia up those hills leading up to town, congratulations coz hata gari zinahema hapo.