Land buying and Brokers

Ati hawa ma brokers wa mashamba wanafaa kupewa commission kiasi gani akikuonyesha shake poa ya kununua.
My friend can’t fathom giving a village peasant 210k.I also can’t imagine giving such amount of money to some guy who has never seen a bunch of 10k.
The broker anadai hiyo pesa ni kama ni lazima apewe.Tumeambia mwenye shamba akae nayo.3 acres each at 700k bargained price

Mpe. Its not your job to think what broker is worth. Kwani angekuja na suti na range rover ungempa?

Ngui atoe 140k apeane hivi hivi…kai wina ngoma

Registered agents ask for 3.5% of the land value. I pay 1%

Wewe ndio unaongea.Nice advice thanks

Consider it part of the cost of the property

hio ni kazi gani sasa?? for showing you? kusema “ndio hiyo hapo” is what he wants 200k for? he has overvalued his importance.

Imagine,am told ni wao huwa wanang’oa zile mbao za “Land for Sale” ukiweka kwa ploti au shamba yako,ndio wapate commission.Hatujakataa kupeana kakitu but ile wanaitisha aiii wacha ikae

Kama hujui tunaongea kuhusu nini jikunyate

Shouldn’t exceed 5%

If the land is anywhere in Mt Kenya region or mavoko sub county of Machakos county or Kajiado East sub county of Kajiado county then you fail to see the forest for the trees, yaani you are not looking at the bigger picture. Those 3 acres can be sold at double the price as soon as you get the title deeds in your name. So you convert 2.1M into 4.2M and the only expense is the lousy 210K to the villager.
If you don’t do it somebody else will

I thought it’s the seller who pays commission to the agent for finding him/her a buyer, not the other way round? Also, they agree prior to the process starting.

The brokers price might not be the owners set price ,unakulwa Mara mbili ongea na mwenye shamba if possible

I agree!

They are criminals and if you don’t pay it will cost you dearly. Watakuja na nduthi na panga usiku. Ambia mwenye shamba akae na shamba lake

Wacha ujinga wanapeangwa thao ya macho io ingine ni ukora…

Wacha ujinga wanapeangwa thao ya macho io ingine ni ukora… mwambieni hamtaki io shamba na mjitoe utaona akifuata.

I think the seller refused to part with anything

Huku ocha gang ya nduthi is easy to tame,tuna forward jina ya huyo broker kwa chifu na unatisha chifu unamwambia asipo chukua hatua tutapeleka kesi mbele.Halafu useme tu huyo jamaa ni mungich ahhh.
Those are tips we have gathered just incase

The seller is crazy…how does he expect folks to find him a buyer and not pay a commission. As for the brokers, they sound shoddy. They shouldn’t be getting money from a buyer, but from the seller.