Kuna plot najaribu kuuza lakini sijafaulu any estate agents who can do the job?
kwani land bubble imeburst?
1 Like
kuna msee ameniambilia commision
iko pande ngani,anyway hapo G&R restaurant biashara street kuna wazee wa lands ata ukitaka iuzwe mara tatu watauza.
inatwa aje?
Nini?
I might be interested. What’s the location, size, cost?
Title no?
Kuna mtu najua he requires minimum 1ha, not more than 40km from Westlands
ni a 1/4 acre near the thika golf course
Bei?
4.5