Lamu connections

Nafika lamu but sina contacts or connections plus tagged, tinder and badoo haina traffic huko

Yaaawn

niliskia lamu kuna punda wengi sana. You will be just FINE!

Chunga sana brathe , karibu nichinjiwe uko one day one time ju ya kuulizia baze ya nyap . Beba tu arimis bro

:smiley:

Unataka kusema lamu hakuna malanye,fafanua mkuu napanga kwenda huko

Wa Bajuni hawapendi kutombewa madem wao. Last time nilikuwa huko (more than 10 years ago at a time when 75% of talkers were crunching primary school math problems and alshabaab was not known) women needed chaperones to go out into the public. It was taboo for a woman and man not related each other (let alone strangers) to be seen together.

But, ten years have passed. Times may have changed. With alshabaab probably for the worse. With a large kyuk population and tourist destinations there who knows unaeza angukia kitu. But not in the old town. Maybe hizo side zingine kuna some tourist hotels.

Wako , but usijipeleke uko na ile kimbelembele ya kanairo , ati umeona bez ya jaba alaf unaenda tu ka umeulizia ao members wakuchape coordinates za mahali miaow za 150 ziko , wueeh utasweat mbaka kwa meno ukiona umeekelewa zile njora za kiarabu kwa shingo alafu waanze kuchant “taakbirrr”…tru stori maze

Mmefanya hadi nime cancel hio safari, wacha tu nifike Malindi

:D:D:DDeki imesema muende Malindi

Ukienda Malindi , ulizia " Karumaindo "

Malindi niko na watoto wengi wasafi, mimi ni mwenyeji huko, Lamu ndio nillikua mgeni