Kwa nini ununue kitu kama hii?
[MEDIA=twitter]1456554139748548609[/MEDIA]
Kwa nini ununue kitu kama hii?
[MEDIA=twitter]1456554139748548609[/MEDIA]
Sema wewe ndio hauna kakitu
Pesa za watu mbona husumbua wengine?
Government should set the minimum size of land to 1/4 acre subdivisions.
This should be effected and anyone who approves subdivision less than that jailed for life…unapata mtu ameuziwa shamba ya 30 by 30 ft anataka kujenga flat na ako na title deed to make matters worse
Hizi za Oakland kaeni mbali nazo.
Hazina title…in other word shamba yote iko na mother title pekee…meaning mwenyewe anawezachukua loan na plots zenu kama collateral na ahepe