Ladies

Kuna hawa madem hudai Ati wao Ni team natural. Wanashave marine style. Hawapendi make up , Na huvaa bracelets za beeds kwa mkono, tattoo Kwa wrist. Kwa wardrobe hawana dress hata moja. Hao si Ni lesbians ama?

Psssss, How about you ask them.

ni napenda kama hao

ha ha …i dont know who are those… but avoid the type of bitches who have dreadlocks and take only whisky…
and then have other funny “standards” like, i don’t text after 9, sijui i don’t let guys in my house…and that crap

ata mimi ni lesbian ,napenda wanawake

Hizi ni sampuli nyingine tu ya kunguru

I once dated this a chick . We usually met at village market ju dem alikuwa alinishow anaishi runda Na maparo wake watamkataza kutoka nje. Dem alikua Na dreads. So siku moja nikiwa matembezi Ruaka Kuna kaslum Kuna nyumba z mabati nikacheki huyo dem amejifunga leso akienda bafu Na karai. Wah dem alikua anavaa designers Na kunishow oooh nikopeshe 10k ju allowance sijapewa. Kumbe dem alikua safara. Madem Wa dreads

Imma the type of gal bt ain’t a lesbian. No make up few tattoos and only take whiskey

ha ha ha …how did it end? ulikamua? at least that’s the best turn ya hii story

I think nitarusha hii story side ya hekaya

Safisha sisi mecho alafu sasa tujue mpango ya Whiskey itakuaje

http://ct.fra.bz/ol/fz/sw/i46/5/3/21/frabz-We-have-rules-here-Pics-or-GTFO-b42f90.jpg

accurate

[ATTACH=full]162477[/ATTACH]

Umetoa picha ya female perspective wapi?

[ATTACH=full]162492[/ATTACH]

Hahaha.

whisk away from this thread