[ATTACH=full]436127[/ATTACH][ATTACH=full]436128[/ATTACH]
Wapi guiness?
Hiyo nyumba inakaa mashida tu
Hehe … mashida ka za Oyole kwakina @uwesmake
Niliwacha kukunywa Guinness. Niko Kwa Russian vodka in support of Putin
Huogopi vitu za Kariobangi ?
Hiyo vodka ni original
Hii ni original
Eeh ni original. Unatumia brand gani Padre?
It’s a member’s club. You get to sit in your own exclusive shed and listen to your stuff . No congestion or disturbance by chokoraa
Hapana nunu pombe kihobela hobela,tafuta plug akujenge hapo nje ya gate ya UDV. Mtakufa kukunywa harpic na maji ya P2. …pombe ingine yote ,tafuta marafiki wakupanda ndege wakuletee kutoka kariobangi ya london ,dubai or paris…KQ crew pale nerkwo wanaweza hio kazi
Mimi pia ni Smirnoff, vodka. Beer ni Guiness
I thought you are a teetotaler. Being a padre