LAANA YA HALI YA JUU

Kumlinganisha Mandela na Maguful
Nyerere na Magufuli
Kweli waziri wa fedha asema hivyo

Ni sawa sawa na kulinganisha keki na Kokoto

Ujinga mtupu huo

Maui huwez fananisha jiwe na keki

Wote hao hawanifikii mimi

Hizi siyo zama za kua honest anymore…

Ni zama za kujipendekeza…

Zaidi ya ujinga Mkuu.
Ila uzuri anaelewa vema jinsi ambavyo anachukiwa na Watanzania wengi zaidi.

Akae akijua akimaliza muda wake kwa kuendelea kufanya mabaya basi mwisho wake utakuwa mbaya

Nyerere na Nagufuri, yes wanafanana. Both terrible dictators and communists. Ingawa mwishoni nyerere aliyaina makosa yake na akaanza ku push mabadiliko hata kama wananchi na CCM hawakua tayari (kutokana na ujinga wao ambao yeye mwenyewe aliusababisha). I guess it was his way of apologizing for how much he screwed up the country

Nimeshafika [

Hahahaha

Mkuu Salam…
Furaha kubwa kukuona hapa.

hata kama ni kujipendekeza huku kumepita kiwango

Safi mkuu, ni furaha kubwa sana kukuona tukiwa sote huku ukimbizini, na kidogo tumepata pa kusemea nafsi zetu, toka hiyo tar 11 had I leo nilipofanikiwa kufika huku nilikuwa sina furaha kabisa maana arosto ya jf ilikuwa inaumiza sana