Kwesé Sports

Hii kwese inadai kuleta English Premier League live, NBA, NFL, FIA Formula E Championship, AVIVA Premiership Rugby as well as sport themed magazine shows and movies; for free to all FTA decoders and digital Tv.

tunacheswa ama?

labda si live…but wanasema wataonyesha game za timubza mid na bottom table live

Hii kwese ndio nini sasa. Alot of results zinatokea tu kwa ka-site ka Zimbabwe…

iko kwa signet platform

Ni ya yule mbirrionare true si @rollout Strive Masiyiwa ule mjamaa wa Liquid na Econet

Walionyesha live ya everton vs tottenham