Kwanza kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa kenyatalk na wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine katika kutujengea hili jukwaa la jf humu ndani ya kenya talk. Mbarikiwe sana.
Lakini pia nilikuwa naomba tuanzishiwe pia jukwaa la inteligence na majukwaa mengine muhimu kutoka jf
Shukran
Mkuu,kwanza kabisa hatuwezi kuwa na majukwaa yote kama ilivyokuwa kule JF.
Hivyo,kwa sasa tuendelee kuwa wavumilivu.Tutumie haya yaliyopo kwa kuwa ndiyo ya msingi sana.
Jamii Intelligence nalishughulikia…
Ahsante.
Tayari mkuu.
@admin .
Done
Shukran mkuu…hapa sasa mambo ni bumbum
Sawa Mkuu!